Nyongeza Ya Pili

Waraka wa Mashtaka: Kesi Na. 292 ya 1973 (Washtakiwa wa Chama cha Umma)

Washitakiwa

Taja Jina Kamili, Anuwani, Jinsia, Umri, Utaifa na Kabila
1 Ahmed Badawi Qullatein, Mwarabu, Mtanzania. Miaka 42, Muislamu, Shirika la Kilimo na Ardhi, wa Vuga, Zanzibar.
2 Ali Mshangama Issa, Mngazija, Mtanzania, Miaka 32, Muislamu, M.V. Afrika, Afisa wa tatu, wa Zizi la Ng’ombe Zanzibar.
3 Amar Salim (Kuku), Mshihiri, Mtanzania, Miaka 42, Muislamu, Idara ya Siha (Usafirishaji), wa Mbuyuni, Zanzibar.
4 Miraji Mpatani, Mtanzania, Miaka 42, Muislamu. Karani Mambo Msiige, wa mpirani, Zanzibar
5 Abdulla Ali Khamis (Mapara) El-Harusy, Mtanzania, Miaka 36, Muislamu, Jeshini, Kapteni. Makao Makuu ya Jeshi Unguja.
6 Hassan Makame Seif, Mtanzania, Miaka 26, wa Makadara/Kariakoo/ Bavuai Camp, Unguja.
7 Ishaka Haji Juma Harakati, Mtumbatu, Mtanzania, Miaka 25, Muislamu, Dereva wa Mheshimiwa Khamis Abdulla Ameir, wa Baraste Kipande, Unguja
8 Mohamed Abdulla Ahmed Baramia, Mtanzania, Miaka 41, Muislamu, Mwangalizi wa Ghala, Idara ya Elimu, wa Kikwajuni, Unguja
9 Mohamed Said Mtendeni, Mtanzania, Miaka 37, Muislamu, Mwandishi wa Habari wa China, wa Vuga, Unguja.
10 Rashid Mohamed Ahmed Fallahy, Mtanzania, Miaka 30, Muislamu, Shirika la Mafuta na nguvu za Umeme, wa Vikokotoni, Unguja.
11 Mussa Shabani Khatibu, Mwafrika, Mtanzania, Miaka 30, Muislamu, Makao Makuu ya Wizara ya Fedha, wa Vikokotoni, Unguja.
12 Said Salum Said (Baesi), Mtanzania, Miaka 37, Muislamu, Fundi, Shirika la Umeme (Mafriji), wa Kiponda, Unguja.
13 Saleh Ali Saleh, Mngazija, Mtanzania, Miaka 45, Muislamu, Fundi Shirika la Umeme wa (Mafriji) Kiponda, Unguja.
14 Nurbhai Issa Nurbhai, Mtanzania, Miaka 34, Muislamu, Hana kazi, wa Vuga, Unguja
15 Kadiria Mnyeji Abdulla, Mwafrika, Mtanzania, Miaka 32, Muislamu, Mwanasheria Idara ya Kilimo, wa Kikwajuni, Unguja.
16 Haroub Mohamed Salim Mauly, Mtanzania, Miaka 28, Muislamu, Storekeeper, State Fuel & Power, Pemba, wa Vuga, Unguja.
17 Saidi Mohamed Said (Tumbo) Mwafrika, Mtanzania, Miaka 31, Muislamu, Karani Idara ya Elimu, wa Kikwajuni, Unguja.
18 Mohamed Abdulla Seleman (Saghir), Arab. Mtanzania, Miaka 33, Muislamu, Fundi wa Mitambo, Idara ya Habari na Utangazaji, Zanzibar, wa Vuga, Unguja.
19 Yusuf Ramadhan Yusuf (Mhiyao), Mtanzania, Miaka 28, Muislamu, Askari wa Polisi wa Kidongo Chekundu, Unguja.
20 Abbas Mohamed Ahmed, Mngazija, Mtanzania, Miaka 34, Muislamu, Post office, wa Kisiwandui, Unguja.
21 Mohamed Salim Suleiman, Mzaramo – Mtanzania, Miaka 36, Msaidizi wa fundi Mitambo, Idara ya Habari na Utangazaji, wa Raha Leo, Unguja.
22 Mohamed Ali Ladha, Ismaili, Mtanzania, Miaka 30, Muislamu, Mapinduzi Bookshop, wa wembetanga, Zanzibar.
23 Abdulla Mussa Mohamed (El-Mauly), Mtanzania, Miaka 31, Muislamu Mkuu wa Mashine, Kiwanda cha Sigara, wa Forodhani, Unguja.
24 Mohamed Abdulla Seif (Panya) Labir, Arab, Mtanzania, Miaka, Muislamu, Mpishi Kwa Nassor Ali, wa Shangani, Zanzibar.
25 Ali Hemed Houmoud, Mwarabu, Mtanzania, Miaka 23, Muislamu, Kiwanda cha Kusagia Nafaka, wa Kiponda, Unguja.
26 Rashad Mohamed Rashid, Mtanzania, Miaka 23, Muislamu, Kiwanda cha Kusagia Nafaka, wa Kiponda, Unguja.
27 Seif Said Hamad. Arab, Mtanzania, Miaka 34, Muislamu, Mchunguzi wa hali ya hewa, Airport, wa Kiembe Samaki, Zanzibar.
28 Hussein Mbarouk Kombo, Mwafrika, Mtanzania, Miaka 47, Muislamu, Karani wa Majenzi Mapya, Michenzani, wa Sokomuhogo, Unguja.
29 Ibrahim Omar Soud (Mbisa), Mtanzania, Miaka 31, Muislamu, Depot Manager wa Wesha Caltex, Chake Chake, wa Chachani, Chake Chake Pemba.
30 Khamis Abeid Omar, Mtanzania, Miaka 32, Depot Manager wa Caltex, Chake Chake, wa Chachani, Chake Chake Pemba.
31 Mohamed Khelef Mohamed, Miaka 32, Muislamu, Depot Manager wa Caltex, Chake Chake, wa Chachani, Chake Chake Pemba.
32 Mohamed Ali Seif Ismail, Mtanzania, Miaka 38, Muislamu, Katibu wa Idara ya Utawala, Chake Chake, Pemba.
33 Naaman Marshed Khamis El-Harussy, Mtanzania, Miaka 26, Muislamu, Tax driver wa Madungu, Chake Chake, Pemba.
34 Mohamed Said Mohamed (Mahdali) Mtanzania, Miaka 26, Muislamu, Mpiga Chapa, Azimio Press. wa Malindi, Zanzibar.
35 Abdulla Abeid Suleiman, Mtanzania, Miaka 44, Muislamu, Mkulima wa Kizimbani, Zanzibar.
36 Humoud Ali Abdulla Barwani, Mtanzania, Miaka 24, Muislamu Mwanajeshi, wa Baghani, Zanzibar.
37 Khamis Masoud Khamis, Bajuni, Mtanzania, Miaka 25, Muislamu, Afisa wa Jeshi, wa Saateni, Zanzibar.
38 Salim Abdulla Saleh, Mtanzania, Miaka 53, Muislamu, Idara ya forodha, wa Kilimani, Unguja
39 Juma Mussa Juma, Bulushi, Mtanzania, Miaka 53, Muislamu, Karani wa Kajificheni, Zanzibar.
40 Abdulalrazak Mussa Simai, Mwafrika, Mtanzania, Miaka 38, Muislamu, Mvuvi na Mkulima wa Jambiani, Zanzibar.
41 Mohamed Khalfan Salim Abdulla, Mtanzania, Miaka 29, Muislamu, Muuza Mabuku, Mapinduzi Bookshop, Chake Chake, Pondeani, Chake Chake Pemba.
42 Khamis Abdulla Ameir, Hinawi, Arab, Mtanzania, Miaka 42, Muislamu, MBM, Posta, Kiunga cha Wangazija, Miembeni, Unguja.
43 Ali Sultan Issa El-Ismail, Arab, Mtanzania Miaka 42, Muislamu, Manager State Fuel (Shirika la Mafuta), wa Migombani, Zanzibar.
44 Abdulla Mohamed Salum (Kanga), Mtanzania, Miaka 30, Muislamu, Mwanajeshi wa Migombani na Kisiwandui, Zanzibar.
45 Mohamed Aboud Mohamed (Chululu), Mngazija, Mtanzania, Miaka 24, Muislamu, Afisa wa Jeshi,wa Misufini, Unguja.
46 Abdulrahman Abdulla Ali, Mtanzania, Miaka 25, Muislamu, Lt wa JWTZ wa Kisimani, Unguja.
47 Salim Ahmed Rashid, Mwafrika, Mtanzania, Miaka 25, Muislamu Lt wa JWTZ, wa Vuga, Zanzibar
48 Ahmada Shafi Adam, Mngazija, Mtanzania, Miaka 31, Muislamu, Mwandishi wa magazeti (Uhuru na The Nationalist) wa Kilimani, Unguja.
49 Ahmed Nassor Issa Mazrui, Mtanzania, Miaka 32, Muislamu, Building contractor, Pemba, Mkanjuni na Shangani, Zanzibar
50 Hassan Said Mzee, Mngazija, Miaka 32, Muislamu, Mwandishi wa gazeti ‘ The Standard, Tanzania, Malindi, Zanzibar.
51 Tahir Mohamed Adnan, Mngazija, Mtanzania, Miaka 36, Muislamu, Afisa wa Ardhi na Misitu wa Darajani State Shop, Zanzibar.
52 Ali Mzee Ali, Mngazija, Mtanzania, Miaka 30, Muislamu, Mkuu wa mishahara na mambo ya Ofisi, Shirika la Nguvu za Umene, wa Mlandege, Zanzibar.
53 Ali Amran Ameir, Mwarabu, Mtanzania, Miaka 35, Muislamu, Idara ya habari, Zanzibar wa Shangani, Zanzibar.
54 Ibrahim Mohamed Hussein, Ithnasheiry, Mtanzania, Miaka 21, Muislamu, OKM, wa Mwembetanga, Unguja.
55 Nassor Ali Abdulla, Mtanzania, Miaka 42, Muislamu, Idara ya Forodha, Unguja, wa Shangani, Unguja.
56 Abdulla Nassor Ali, Mtanzania, Miaka 24, Muislamu, Exchange/Beit al Ajaib, wa Shangani, Unguja.
57 Abdulla Nassor Ali (junior), Mwarabu, Mtanzania, Miaka 18, Muislamu, Mwanafunzi darasa la 12, Lumumba, wa Shangani, Unguja.
58 Zuhera Mohamed Gharib, Mwarabu, Mtanzania, Miaka 43, Muislamu, Mke, wa Shangani,Unguja.
59 Mohamed Abdulla Ameir Hinawi, Mtanzania, Miaka 38, Muislamu, Mwanajeshi wa Vuga, Zanzibar.
60 Shibu Hassan Bilali, M’Manyema, Mtanzania, Miaka 28, Muislamu, wa Mkamasini, Unguja.
61 Yusuf Mshangama, Mngazija, Mtanzania, Miaka 23, Muislamu, Mwanajeshi wa Makadara, Unguja.
62 Ahmed Sultani Riyami, Mtanzania, Miaka 43, Muislamu, Immigration, wa Bububu, Zanzibar.
63 Alawi Tahir Mohamed (Shatry), Mtanzania, Miaka 25, Muislamu, Mwanajeshi, wa Mwembe Makumbi, Zanzibar.

 

Na watu wafuatao ambao hawapo visiwani

64 Abdulrahman Mohamed Babu, Mtanzania, Miaka 48, Muislamu, wa 14 Luthuli Road, Dar es Salaam.
65 Tahir Ali Salim (Mwarabu) Mtanzania, Miaka 32, Cashier (NBC Morogoro Road Branch) wa Mwembechai kona Morogoro Road/ Rungwe Street, Dar es Salaam.
66 Hashil Seif Hashil, Mwarabu, Busaidy, Mtanzania, Miaka 31, Muislamu, Mwanajeshi 2nd Lt Navy, wa Ukonga, Dar es Salaam.
67 Salim Saleh Bahashwani, Mwarabu, Mtanzania, Miaka 31, Muislamu, Mwanajeshi wa Nachingwea Military Barracks.
68 Ali Yusuf Baalawi, Mtanzania, Miaka 42, Muislamu, Mwanajeshi (JWTZ) wa Lugalo Barracks, Dar es Salaam.
69 Hamed Hilal Mohamed, Mtanzania, Miaka 33, Muislamu, Ex-Kapteni Jeshini (JWTZ) wa Ilala National Housing Flats No 315 Block a Dar es Salaam.
70 Suleiman Mohamed Abdulla Sisi, Mtanzania, Miaka 29, Muislamu, Mwanajeshi wa Ilala Flats Block 12, Dar es Salaam.
71 Amour Mohamed Dugheish, Mtanzania, Miaka 29, Muislamu, Mwanajeshi wa Ukonga, Dar es Salaam.
72 Ahmed Mohamed Habib Toni, Mtanzania, Miaka 33, Muislamu, Ex-Lt (JWTZ) wa Lugalo Barracks, Area 6 House no. 34.
73 Haji Othman Haji Mpemba, Mtanzania, Miaka 33, Muislamu, Mwanajeshi wa Nachingwea Military Barracks, Dar es Salaam.
74 Saleh Abdulla, Mtanzania, Miaka 26, Muislamu, Ex-Lt (JWTZ) wa Forodhani, Mizingani, Zanzibar.
75 Abdulla Juma Khamis Baluchi, Mtanzania, Miaka 35, Muislamu, Mwanajeshi wa Lugalo Barracks, Dar es Salaam.
76 Ali Mahfoudh Mohamed, Mtanzania, Miaka 33, Mwanajeshi wa Ukonga, Dar es Salaam.
77 Ali Salim Hafidh, Mshihiri, Mtanzania, Miaka 32, Muislamu, Mwanajeshi wa Ukonga, Dar es Salaam.
78 Shaabani Salim Mbarak Nne-Nne, Mtanzania, Miaka 32, Muislamu, Mwanajeshi P.1100 Lt wa Ukonga, Dar es Salaam.
79 Badru Said Hadhramy, Mtanzania, Miaka 31, Muislamu, Research Manager NBC, wa Clock Tower Branch Building, Dar es Salaam.
80 Ali Mohamed Ali Nabwa, Mngazija, Mtanzania, Miaka 37, Publisher wa Plot 308, Block 456, Kijitonyama Dar es Salaam.
81 Abdulaziz Abdulkadir Ahmed, Mtanzania, Bajuni, Mgunya, Miaka 43, Techincal Assistant, Regional wa Mindu street, Plot 563.

SHTAKA: Uhaini Kinyume na Kifungu cha 26

Sheria ya Jinai, Mlango 13

13 Mohamed Said Mtendeni
14 Rashid Mohammed Ahmed Fallahy
15 Said Salim Said Baesi
16 Nurbhai Issa Nurbhai
17 Mohammed Ali Ladha
18 Abdulla Mussa Mohammed
19 Ali Hamed Hamoud Karkoboy
20 Ibrahim Omar Soud
21 Khamis Abeid Omar
22 Mohammed Khalfan Mohammed
23 Naaman Marshed Khamis
24 Hamoud Ali Abdulla
25 Juma Mussa Juma
26 Khamis Abdulla Ameir
27 Ali Sultan Issa
28 Salim Ahmed Rashid (Lord Hume)
29 Ibrahim Mohamed
Waliotiwa hatiani na kupelekwa mafunzoni.

Waliotiwa hatiani na kupelekwa mafunzoni.
– Orodha ya baada ya mapinduzi Karume aliamua kuwa gereza liitwe Chuo cha Mafunzo

44 Said Mohammed Said (Miaka 15)
45 Mohamed Abdulla Suleiman Saghir (Miaka 15)
46 Rashid Mohamed Rashid (Miaka 15)
47 Seif Said Hamed (Miaka 15)
48 Khamis Masoud Khamis (Miaka 15)
49 Salim Abdulla Saleh (Miaka 15)
50 Mohamed Khalfan Salim (Miaka 15)
51 Abdulla Mhamed Salim Kanga (Miaka 15)
52 Mohamed Aboud Mohamed Chululu (Miaka 15)
53 Mohamed Abdulla Ameir (Miaka 15)
54 Alawi Tahir Mohamed (Miaka 15)
55 Saleh Ali Saleh (Miaka 10)
56 Mohamed Ali Seif (Miaka 10)
57 Mohamed Said Mohamed Mahdali (Miaka 10)
58 Tahir Mohamed Adnan (Miaka 10)

 

Walioachiwa na mahakama hawana makosa
59 Yusuf Ramadhan
60 Mohamed Salim Suleiman
61 Husein Mbaruk Kombo
62 Abdulla Abeid Suleiman
63 Abdulrahman Abdulla Ali
64 Ahmada Shafi Adam
65 Hassan Said Mzee
66 Ali Mzee Ali
67 Ali Amran Ameir
68 Shibu Hassan Bilal
69 Yusuf Mshangama
70 Ahmed Sultan (Riyami)

 

Dar es Salaam

71 Ali Yusuf Baalawi
72 Saleh Abdulla
73 Ali Mohamed Nabwa
74 Abdulaziz Abulkadir Ahmed
Walioachiwa hawakuhitajiwa kujitetea

75 Mohamed Abdulla Seif Panya
76 Ahmed Nassor Issa
77 Nassor Ali Abdulla
78 Abdulla Nassor Ali
79 Abdulla Nassor Ali (junior)
80 Zuheira Mohamed Gharib

Aliyekufa kabla ya hukumu

82 Abbas Mohamed Ahmed

30-43 Washitakiwa waliokuwa Dar es Salaam

Mrajis 99/76, 6 Oktoba 1976, Mwanasheria Mkuu, Zanzibar.

RUFANI NAM,

1 YA ! 1974 KUTOKANA NA RUFANI NAM.

2 YA 1974 YA KORTI KUU,

KUTOKANA NA KESI YA JINAI NAM.

292/73 YA MAHAKAMA YA

WANANCHI VUGA ZANZIBAR.

MSHTAKI……………………JAMHURI

Dhidi ya AHMED BADAWI QULLATEIN, NA 38 WENGINE…WAOMBA

RUFAANI

Nakuletea nakala za maombi ya rufaani mbele ya Baraza la Juu ya waombaji wafuatao

1 Ahmed Badawi Qullatein
2 Ali Mshangama Issa
3 Amar Salim Saad (kuku)
4 Miraji Mpatani
5 Abdulla Ali Khamis
6 Hassan Makame Seif
7 Mohamed Abdulla (Baramia)
8 Is-Haak Haji Juma Harakati
9 Mohamed Said Mohamed (Mtendeni)
10 Rashid Mohamed Ahmed (Falahi)
11 Mussa Shaaban
12 Said Salum Said (Baes)
13 Saleh Ali Saleh
14 Nurbhai Issa Nurbhai
15 Kadiria Mnyeji Abdulla
16 Haroud Muhamed Salim
17 Said Mohamed Said
18 Mohamed Ali Ladha
19 Abdulla Mussa Mohamed
20 Ali Hemed Hamoud
21 Ibrahim Omar Soud
22 Khamis Abeid Omar
23 Mohamed Khelef Mohamed
24 Mohamed Ali Seif
25 Naaman Marshed
26 Mohamed Said Mohamed (Mahadaly)
27 Hamoud Ali Abdulla
28 Khamis Masoud Khamis
29 Salim Abdulla Saleh
30 Juma Mussa Juma
31 Abdulrazak Mussa Simai
32 Mohamed Khalfan Salim
33 Khamis Abdulla Ameir
34 Ali Sultan Issa
35 Abdulla Mohamed Salum (Khanga)

 

Maelezo yamekosekana
1 Ahmed Badawi Qullatain Kifo Kifo
2 Ali Mshangama Issa Kifo Kifo
3 Amar Salim Kuku Kifo Kifo
4 Miraji Mpatani Kifo Kifo
5 Abdulla Ali Khamis Kifo Kifo
6 Hassan Makame Seif Kifo Kifo
7 Mohamed Abdulla Baramia Kifo Kifo
8 Is-Haak Haji Juma Harakati Kifo Kifo
9 Mohamed Said Mtendeni Kifo Kifo
10 Rashid Mohamed Fallahi Kifo Kifo
11 Mussa Shaaban Khatib Kifo Kifo
12 Said Salim Baes Kifo Miaka 14
13 Saleh Ali Saleh Miaka 10 Miaka 10
14 Nurbhai Issa Nurbhai Kifo Kifo
15 Kadiriya Mnyeji Kifo Miaka 15
16 Harub Mohamed Kifo Kifo
17 Said Mohamed Said Miaka 15 Miaka 15
18 Mohamed Ali Ladha Kifo Miaka 14
19 Abdulla Mussa Mohamed Kifo Miaka 9
20 Ali Hemed Karikoboy Kifo Miaka 12
Maelezo yamekosekana
21 Ibrahim Omar Soud Kifo Miaka 9
22 Khamis Abeid Omar Kifo Miaka 9
23 Mohamed Khelef Mohamed Kifo Miaka 10
24 Mohamed Ali Seif Miaka 10 Atoke 6/4/76
25 Naaman Marshed Kifo Miaka 6
26 Mohamed Said Mohamed Miaka 10 Miaka 10
27 Hamoud Ali Abdulla Kifo Miaka 18
28 Khamis Masoud Miaka 15 Miaka 15
29 Salim Abdulla Saleh Miaka 15 Miaka 10
30 Juma Issa Juma Kifo Miaka 18
31 Abdulrazak Mussa Kifo Miaka 6
32 Mohamed Khalfani Salim Miaka 15 Kifo
33 Khamis Abdulla Ameir Kifo Kifo
34 Ali Sultan Issa Kifo Miaka 15
35 Abdulla Mohamed Salim Miaka 15 Miaka 15
36 Mohamed Aboud Chululu Miaka 15 Miaka 18
37 Salim Ahmed Rashid Kifo Miaka 15
38 Ibrahim Mohamed Hussein Kifo Miaka 7
39 Alawi Tahir Miaka 7 Miaka 7

 

 

MRAJIS KORTI KUU

UNGUJA

License

Tishio la Ukombozi Copyright © 2016 by Amrit Wilson. All Rights Reserved.

Share This Book

Feedback/Errata

Comments are closed.