TTarehe 10 Februari, 1965 Babu, wakati huo akiwa waziri wa biashara na Lin Hai-yun, kaimu waziri wa biashara ya nje wa China walitia saini mkataba wa biashara za itifaki kuhusu ubadilishanaji wa bicha mali kwa mali kati ya China na Tanzania. Hapa tunawaona wakibadilishana nyaraka walizozisaini wakati huo

License

Tishio la Ukombozi Copyright © 2016 by Amrit Wilson. All Rights Reserved.

Share This Book

Feedback/Errata

Comments are closed.