Kuachiwa kwa Makomred wa Chama cha Umma bara. Waliosimama mstari wa mbele, kutoka kushoto kwenda kulia: Babu, Martin Ennals kutoka Shirika la Kimataifa la Kutetea Haki za Binadamu (Amnesty International), Ali Mahfoudh, Hashil Seif Hashil; mstari wa pili, kutoka kushoto kwenda kulia, Suleiman Mohamed (Sisi), Salim Saleh, Haji Othman, Shaaban Salim, Tahir Ali; mstari wa tatu, kutoka kushoto kwenda kulia Amour Dugheish, Martin Hill kutoka Shirika la Kimataifa la Kutetea Haki za Binadamu (Amnesty International), Abdulla Juma, Badru Said, Hamed Hilal; nyuma ya mstari wa tatu ni Ahmed Mohamed (Tony). (Mpiga picha hajulikani

License

Tishio la Ukombozi Copyright © 2016 by Amrit Wilson. All Rights Reserved.

Share This Book

Feedback/Errata

Comments are closed.